\p \v=8 \v~=Yesu, akifahamu majadiliano yao, akauliza, \wj “Enyi wa imani haba! Mbona mnajadiliana miongoni mwenu kuhusu kutokuwa na mikate?\wj* \¬v