\p \v=17 \v~=Yesu akajibu, \wj “Enyi kizazi kisichoamini na kilichopotoka! Nitakaa nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni mvulana hapa kwangu.”\wj* \¬v