\p \v=9 \v~=Walipokuwa wakishuka kutoka mlimani, Yesu akawaagiza, \wj “Msimwambie mtu yeyote mambo mliyoyaona hapa, mpaka Mwana wa Adamu atakapofufuliwa kutoka kwa wafu.”\wj* \¬v \¬p