\v=24 \v~=\wj Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta\wj*\f + \fr 18:24 \ft Talanta moja ni sawa na mshahara wa kibarua wa miaka 15.\f* \wj 10,000, aliletwa kwake.\wj* \¬v