\p \v=28 \v~=\wj “Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari\wj*\f + \fr 18:28 \ft Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja.\f* \wj mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’\wj* \¬v \¬p