\p \v=11 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Si watu wote wanaoweza kupokea neno hili, isipokuwa wale tu waliojaliwa na Mungu.\wj* \¬v