\p \v=14 \v~=Yesu akasema, \wj “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wa wale walio kama hawa.”\wj* \¬v