\p \v=26 \v~=Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, \wj “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini mambo yote yanawezekana kwa Mungu.”\wj* \¬v \¬p