\p \v=8 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.\wj* \¬v