\v=21 \v~=Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu,\f + \fr 1:21 \fq Yesu \ft ni \+tl Iesous\+tl* kwa Kiyunani, na kwa Kiebrania ni \fqa Yoshua \ft au \fqa Yeshua. \ft Maana yake ni \fqa Yehova ni wokovu.\f* kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.” \¬v \¬p