\p \v=21 \v~=Yesu akamuuliza, \wj “Unataka nini?”\wj* Akajibu, “Tafadhali, wajalie wanangu hawa ili mmoja aketi upande wako wa kuume, na mwingine upande wako wa kushoto katika Ufalme wako.” \¬v \¬p