\v=25 \v~=Lakini Yesu akawaita wote pamoja na kuwaambia, \wj “Mnafahamu kuwa watawala wa watu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, nao wenye vyeo huonyesha mamlaka yao.\wj* \¬v