\p \v=34 \v~=Yesu akawahurumia na kuwagusa macho yao. Mara macho yao yakapata kuona, nao wakamfuata. \¬v \¬p \¬c