\p \v=24 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Nami nitawauliza swali moja. Kama mkinijibu, nami nitawaambia ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.\wj* \¬v