\p \v=18 \v~=Lakini Yesu, akijua makusudi yao mabaya, akawaambia, \wj “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega?\wj* \¬v