\p \v=5 \v~=\wj “Lakini hawakuzingatia, wakaenda zao: huyu shambani mwake na mwingine kwenye biashara zake.\wj* \¬v