\v=26 \v~=\wj Ewe Farisayo kipofu! Safisha ndani ya kikombe na sahani kwanza, ndipo nje itakuwa safi pia.\wj* \¬v \¬p