\v=2 \v~=Ndipo Yesu akawauliza, \wj “Je, mnayaona haya yote? Amin, nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.”\wj* \¬v \¬p