\p \v=23 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami ndiye atakayenisaliti.\wj* \¬v