\p \v=39 \v~=Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, \wj “Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe.”\wj* \¬v \¬p