\p \v=40 \v~=Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, \wj “Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?\wj* \¬v