\p \v=45 \v~=Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawaambia, \wj “Bado mmelala na kupumzika? Tazameni, saa imefika ambapo Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi.\wj* \¬v