\p \v=52 \v~=Ndipo Yesu akamwambia, \wj “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga.\wj* \¬v