\v=75 \v~=Ndipo Petro akakumbuka lile neno Yesu alilokuwa amesema: \wj “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”\wj* Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi. \¬v \¬p \¬c