\p \v=11 \v~=“Mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba. Lakini nyuma yangu anakuja yeye aliye na uwezo kuliko mimi, ambaye sistahili hata kuvichukua viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu\f + \fr 3:11 \fq …kwa Roho Mtakatifu \ft hapa ina maana ya \fqa katika Roho Mtakatifu.\f* na kwa moto. \¬v