\p \v=15 \v~=Lakini Yesu akamjibu, \wj “Kubali hivi sasa, kwa maana ndivyo itupasavyo kwa njia hii kuitimiza haki yote.”\wj* Hivyo Yohana akakubali. \¬v \¬p