\v=25 \v~=Makutano makubwa ya watu yakawa yanamjia kutoka Galilaya, Dekapoli,\f + \fr 4:25 \ft Yaani Miji Kumi.\f* Yerusalemu, Uyahudi na kutoka ngʼambo ya Mto Yordani. \¬v \¬c