\p \v=14 \v~=\wj “Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika.\wj* \¬v