\v=22 \v~=\wj Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote atakayemkasirikia ndugu yake, atapaswa hukumu. Tena, yeyote atakayemwambia ndugu yake, ‘Raka,’\wj*\f + \fr 5:22 \ft Raka ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni dharau au dhihaka ya hali ya juu.\f* \wj atapaswa kujibu kwa Baraza la Wayahudi.\wj*\f + \fr 5:22 \fq Baraza la Wayahudi \ft lilikuwa kundi kuu kabisa la utawala wa Wayahudi lililoundwa na wazee 70 pamoja na kuhani mkuu.\f* \wj Lakini yeyote atakayesema ‘Wewe mpumbavu!’ atapaswa hukumu ya moto wa jehanamu.\wj* \¬v \¬p