\p \v=13 \v~=Kisha Yesu akamwambia yule jemadari, \wj “Nenda na iwe kwako sawasawa na imani yako.”\wj* Naye yule mtumishi akapona saa ile ile. \¬v \¬p