\p \v=20 \v~=Naye Yesu akamjibu, \wj “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.”\wj* \¬v \¬p