\p \v=26 \v~=Naye Yesu akawaambia, \wj “Kwa nini mnaogopa, enyi wa imani haba?”\wj* Kisha akaamka na kukemea dhoruba na mawimbi, nako kukawa shwari kabisa. \¬v \¬p