\p \v=3 \v~=Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, \wj “Nataka. Takasika!”\wj* Mara yule mtu akatakasika ukoma wake. \¬v