\p \v=32 \v~=Akawaambia, \wj “Nendeni!”\wj* Hivyo wakatoka na kuwaingia wale nguruwe, nalo kundi lote likateremka gengeni kwa kasi, likaingia katika ziwa na kufa ndani ya maji. \¬v