\v=4 \v~=Kisha Yesu akamwambia, \wj “Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Mose, ili kuwa ushuhuda kwao.”\wj* \¬v \¬p