\p \v=12 \v~=Lakini Yesu aliposikia hayo, akawaambia, \wj “Watu wenye afya hawahitaji tabibu, lakini wale walio wagonjwa ndio wanaohitaji tabibu.\wj* \¬v