\p \v=15 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Wageni wa bwana arusi wawezaje kuomboleza wakati angali pamoja nao? Wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Hapo ndipo watakapofunga.\wj* \¬v \¬p