\v=2 \v~=Wakati huo huo wakamletea mtu aliyepooza, akiwa amelazwa kwenye mkeka. Yesu alipoiona imani yao, alimwambia yule mtu aliyepooza, \wj “Mwanangu, jipe moyo mkuu. Dhambi zako zimesamehewa.”\wj* \¬v \¬p