\p \v=22 \v~=Yesu akageuka, naye alipomwona akamwambia, \wj “Binti, jipe moyo mkuu, imani yako imekuponya.”\wj* Naye yule mwanamke akapona kuanzia saa ile ile. \¬v \¬p