\c=1 \p \c#=1 \v=1 \v~=Neno la \nd Bwana\nd* lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu. \¬v \¬p