\v=14 \v~=Yesu alipoona yaliyokuwa yakitukia, akachukizwa. Akawaambia wanafunzi wake, \wj “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni wa wale walio kama hawa.\wj* \¬v