\p \v=18 \v~=Yesu akamwambia, \wj “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake.\wj* \¬v