\p \v=21 \v~=Yesu akamtazama na kumpenda, akamwambia, \wj “Umepungukiwa na kitu kimoja. Nenda ukauze kila kitu ulicho nacho uwape maskini hizo fedha, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo, unifuate.”\wj* \¬v \¬p