\p \v=38 \v~=Lakini Yesu akawaambia, \wj “Ninyi hamjui mnaloliomba. Je, mnaweza kukinywea kikombe ninyweacho mimi, au kubatizwa ubatizo nibatizwao mimi?”\wj* \¬v \¬p