\v=42 \v~=Lakini Yesu akawaita wote pamoja na kuwaambia, \wj “Mnafahamu kuwa wale wanaodhaniwa kuwa watawala wa watu wa Mataifa huwatawala watu kwa nguvu, nao wenye vyeo huonyesha mamlaka yao.\wj* \¬v