\v=14 \v~=Akauambia ule mti, \wj “Tangu leo mtu yeyote asile kamwe matunda kutoka kwako.”\wj* Wanafunzi wake walimsikia akisema hayo. \¬v \¬p