\p \v=34 \v~=Yesu alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, \wj “Wewe hauko mbali na Ufalme wa Mungu.”\wj* Tangu wakati huo, hakuna mtu yeyote aliyethubutu kumuuliza maswali tena. \¬v \¬p