\p \v=43 \v~=Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, \wj “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka katika sanduku la hazina zaidi ya watu wengine wote.\wj* \¬v