\p \v=2 \v~=Ndipo Yesu akajibu akasema, \wj “Je, unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, bali yote yatabomolewa.”\wj* \¬v \¬p