\p \v=13 \v~=Basi akawatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake, akawaambia, \wj “Nendeni mjini. Huko mtakutana na mwanaume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni.\wj* \¬v